Madaktari bingwa wa upasuaji kutoka Muhimbili National Hospital wakishiriki presentation maalum kuhusu Good Doctor App na nafasi ya teknolojia katika kurahisisha huduma za afya kwa kuwaunganisha madaktari na wagonjwa kwa ufanisi zaidi. π©Ίπ±π₯
Presentation hiyo imelenga kuongeza uelewa wa matumizi ya mfumo wa kidigitali unaorahisisha mawasiliano, booking za wagonjwa, pamoja na kuongeza upatikanaji wa huduma bora za kitabibu.



